Usiku wa Mashauzi wazingua Mango Garden
WADAU
wa burdani jijini Dar es Salaam walichenguka ipasavyo usiku wa kuamkia
leo kutokana na midundo ya Usiku wa Isha Mashauzi na kundi lake la
Mashauzi Classic iliyoangushwa katika ukumbi wa Mango Garden,
Kinondoni. Katika tamasha hilo Isha aliimba nyimbo zake mbalimbali
zilizowahi kutamba na mpya.
PICHA: RICHARD BUKOS / GPL
No comments:
Post a Comment