FLORA LYMO APOST PICHA ZINGINE ZA AJABU AJABU NA KUSEMA “HOW TO LOOK SEXY AT HOME”.!!
HAHHAHAAA”HIVI WALE HUENDA BAHARINI HUWA WANAKWENDA KULE NA MAGUNIA AU
WANAKWENDAGA VIPI JAMANI ”MAANA NAONA NIMEWATETEMESHA SANA LAST WEEK
”BUT KWASABABU WENGI MLIPENDA NIMEONA NIWAONGEZEENI NA HII ITAKUWA FROM
NOW ‘KILA NITAKAPOJINAFASI WILL POST YOU A NEW SEXY PHOTO’S OF YOUR TOP
IN TOWN’FLORA LYIMO FASHION POLICE” LOOK AT ME”’ DO I CARE??? RUWA
MANGI OTE KAPITSA MBAO”
LETS NECKED THE ISSUE”MBUTA NANGA!! JAMANI JIPENDENI NA KUWENI SEXY
AT HOME”’YANI KINA DADA/MAMA” UKIWA UNAJIPENDA KWANZA NDIPO UNAWEZA
KUPENDA VINGINE NA WENGINE” NA MPENZI WAKO VILE VILE”
COOL STRORY BRO ”TELL IT AGAIN!! aka.THE KUBWA JINGAAAAA”HIZI PICHA
USIPOZIWEKA KWENYE YOUR UCHWARA BLOG’ UTANIJUA MIMI MTOTO WA KICHAGGA
NISIE OGOPA MTU WALA KITU ”TENA NISIE KWEISHA MAUTAMUU”
NAOMBENI MATUSI MAPYA PLEASE”’ YALE MLONITUKANA MBONA YASHAPITWA NA
WAKATI? MBUTA NANGA” FLORA LYIMO FASHION POLICE ANAWAUNGULISHENIJE” NA
BADO MAMBO BADOOO”KUDADAMBIVUUUUUUUUUUU”’
HABARI HII IMETOKA KWENYE BLOG YAKE FLORA >FLORA LYMO BLOG
No comments:
Post a Comment