Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta.
RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema
mashambullio yaliyotokea katika mji wa Mpeketoni, Pwani ya Kenya
hayakufanywa na kundi la wapiganaji wa Al Shabaab bali ni watu
wanaoihujumu Kenya.
Rais Kenyatta ameyasema hao muda
mfupi uliopita wakati akilihutubia taifa la Kenya baada ya mashambulio
mawili yaliyotokea Mpeketoni juzi na jana.
Rais amewataja pia wanasiasa na
baadhi ya maofisa kuhusika katika mashambulio hayo ambapo baadhi yao
wameachishwa kazi tayari na watachukuliwa hatua kali ikiwemo
kushitakiwa.
Kundi la Al Shabaab lilikiri kuhusika na shambulio la juzi usiku ambapo watu takribani 50 waliuawa.
kenya waaangalie watapata hasara kila siku inayokwenda kwamungu bora wawaombe samahani hawa jamaaa wa al;shaababu,,, kwni hasara inayopatikana nikubwa sana wengi wanaokufa hawana hatia
ReplyDelete